Skrapa ni Rapa

@watafiti 2008
Stage  
Shabani, Tatu and Rajabu enter studio where Mkwete is recording his song wearing headphones, flashing control lights microphones, all overwhelming High-Tech for the scrap workers who are invited by Mkwete to join in the chorus
Shabani na Mkwete Angelous Laimpawe, Bwana Kiki, Pili, na wengine

SCRAPe NI RAPe NA RAPe NI CRAPe

Chuma chakavu chapigika chapchap

Chuma chakavu chatuliwaza na rap

Chuma chakavu chatuliwaza na rap

Scrap is rap and rap is a crap

Scrap metal is beaten faster faster

Scrap metal comforts us and raps

Scrap metal comforts us and raps

Mkwete ni mtambo

kweli ametulia

chombo anacho kama mamtoni

Hakuna kuhangaika

Dili ndiyo hili.

Naamini ameelewa watu wanataka nini

Mkwete is strong (as a factory)

truly settled

Owns instruments (same) as in Europe

No sweat

that is the deal

I believe he understands what the people want

Umeona vyombo

Uwezo tu hatuna

Ili tupata mapigo kwa hesabu

Scrape tunayo

Ndio Mbaadala wa Komputa

Itaingiza michuzi

Did you see all that equipment

It is just that we can not afford it

to produce the calculated beats

But we have our „scrapper“

Thats our alternative to the computer

It will bring us money
Choir:  

Kinga Kinga

Kama Mashine ya korokoro

Collect Collect

Like a cash machine

SCRAPe NI RAPe NA RAPe NI CRAPe

Chuma chakavu chapigika chapchap

Chuma chakavu chatuliwaza na rap

Chuma chakavu chatuliwaza na rap

Scrap is rap and rap is a crap

Scrap metal is beaten faster faster

Scrap metal comforts us and raps

Scrap metal comforts us and raps
Pili na Wanamuziki wa Gerezani na Skrepmashine

Aa bona hili jua kwetu lawaka usiku na mchana. Na kila siku kwetu. Huwa ni bora jana

Aah how comes for us the sun is hot day and night and everyday for us is worse than the previous day
Pili:  
Nauza, Nauza na Nauza Marimba. Sauti nzuri ninaimbia; Nunua - Nunua I sell Marimba, I sing with a nice voice, Buy - Buy