Mbegu Mpia Taarab

Stage   
Courtyard of Bi Saada Bin Sultani Zainabu and Rajabu sing a Duet in front of the Diva with John sending and receiving sms-es with Zainabu during the duet.

Duet Zainabu & Rajabu

 Siza Mazongela and Bwana Haji
   
Zainabu:  
Jicho la huba rajabu You cast a romantic glance at me Rajab
wanitupia sipendi this I do not approve
Hebu kuwa na adabu Better remain respectful
Masihara yasizidi without excessive jokes
Sipendi wanamuziki wenye mawazo mgando I dislike musicians with their old-fashion ideas
Kandamizwa kama siki, waleta majigambo conservative, full of arrogance
Kuna mbegu mpia sasa There now exists a new breed
ya wanaumme nadhifu of smart men
Rajabu:  
Wanamuziki kufaulu kimuziki kazi kubwa it is an uphill task for musicians to be successful
Zainabu:  
wanaotupenda haswa, ambao waaminifu Who truly love us, Who are faithful
Rajabu:  
wanahangaika kupata, Riziko moyoni mwao earnestly struggling, to fulfil their hearts desire
Zainabu:  
Badiliko lakupasa, mimi nakutaarifu, tunataka ongea mengine You must transform. I am telling you lets change the subject
hayo ni ya baadaye this discussion is for the future
Rajabu:  
Kuishi maisha hayo, yataka uvumilivu to live that kind of life calls for perseverence
Kuwa na muelekeo pamoja na msimamo vision in combination with commitment
inatakiwa ujuzi kuyafanya mang’amuzi You need skills to read between the line
ndipo utunge muziki usiyo chuja milele for you to be able to compose music which does not lose its appeal over the years

@watafiti 2008