Pharrell Williams Ameshindwa Mahakamani

Wimbo "Blurred Lines" Kukopi Marvin Gay (Babu Bibi walishasema)

Mahakama wa Kimarekani imeamua wimbo wa Pharrall WIlliams na mwenzake Thicke "Blurred Lines" ni copy wa wimbo yake Marvin Gay (1977) "Got to Give it Up"

{youtube}ziz9HW2ZmmY&feature=related{/youtube}

Matokeo yake:

1. Mawakili watapata kazi ya kutosha na kushiba hasa Marekani

2. Wanamuziki watazidi kushtakiana baadala ya kutunga nyimbo

3. Wasanii wataogopa kuwa na HIT song

4. Labda Kichaa ya Music Industry imekufa hapo hapo na muziki kurudi ilipo toka - kiwanjani (sikiliza maneno wa wimbo wa Babu Bibi)

 

 

Add comment