Muziki Ni Uhuru!

 

Muziki haina kipimo wala maelezo, kila mtu ana upendo wake kimuziki ndiyo Uhuru wa Muziki. Huwezi kusema Muziki ni Mbaya - Maana ya muziki mbaya ni kwamba wewe binafsi hupendi wimbo. Kwa mtu mingine inaweza kuwa tamu mno. Kilawimbo iliyotungwa Tanzania ni Utamaduni Wa Tanzania. Kufuatana na upendo kimuziki wa watu wengi utamaduni unaelekea upanda moja au nyingine. Nafasi ya kusikia kila aina ya muziki unasaidia kuongeza Uhuru wa Watu kuchagua muziki wao. Karibuni nyumbani kwa Watafiti, sikiliza muziki mbalimbali.