Muziki Ni Uhuru!

 

Muziki haina kipimo wala maelezo, kila mtu ana upendo wake kimuziki ndiyo Uhuru wa Muziki. Huwezi kusema Muziki ni Mbaya - Maana ya muziki mbaya ni kwamba wewe binafsi hupendi wimbo. Kwa mtu mingine inaweza kuwa tamu mno. Kilawimbo iliyotungwa Tanzania ni Utamaduni Wa Tanzania. Kufuatana na upendo kimuziki wa watu wengi utamaduni unaelekea upanda moja au nyingine. Nafasi ya kusikia kila aina ya muziki unasaidia kuongeza Uhuru wa Watu kuchagua muziki wao. Karibuni nyumbani kwa Watafiti, sikiliza muziki mbalimbali.  

Home

Mzee Koba Shikamoo

Mzee Koba Shikamoo play: Mzee Koba Shikamoo

 

Koba, Weeh Shikamo, Weeh,

Mzee Koba

 
Nani atakuamukia shikamo

Mzee Koba umri ulioyonao wa Kujiheshimu

Wakati unaviringika na vijana

Shikamo, Shikamo

 

Oh Heshima, Oh Heshima

Mzee Koba apewe heshima

Heshima, Oh Heshima

   

Hawa Watoto waachananao

Koba